Mpenzi msomaji na mtazamaji wetu. Endelea Kutajirika,kuburudika na kuelimika kwa kutumia chaneli pekee ya Milionea Tv. Hii ni ya kwanza toka Tanzania kuja na huduma pekee ambazo huzipati kwenye channeli nyingine huko you tube. ukiona wengine wanafanya
Bonyeza hapa kutazama video zote zinazorushwa na watangazaji wa milionea Tv
Hata wewe unaweza kutangaza kwenye chaneli hii ya milionea Tv. Chakufanya rekodi video kwa kutumia simu yako video yako iwe na maadili na iwe inatoa elimu au inaburudisha kisha itume whatsapp 0652428852. utaunganishwa na group la whatsapp la wenzio waliotuma video zao na wanalipwa.
Malipo
Unalipwa kwa idadi ya wanaotazama video yako mfano kila video ikitazamwa na watu kuanzia elfu 10 una lipwa elfu 20 hata itazamwe na watu laki 5 utalipwa milioni yako bila shida
Masharti mengine muhimu kusoma kabla hujatuma video yako yapo kwenye blog hii hii soma zaidi post nyingine.
Mfano wa video ya mtangazaji moja wapo ni hii. Huyu amerusha video ya kuburudisha

Karibu Milionea Tv
Tunashauri urekodi video za kufundisha mambo fulani unayoyajua mfano
Fundisha kupika chakula fulani hii haina garama unatumia simu yako mtu anakurekodi unavyopika
Fundisha kulima, fundisha kupamba, fundisha kufuga kuku, fundisha kufanya chochote
Chekesha kama ebitoke, masanja, rekodi ukiimba wimbo wa mtu mfano diamond, fanya chochote unachoweza ili mradi kioneshwe kwenye video
Fundisha kutengeneza vitu mfano jinsi ya kutengeneza kiti, meza, kutengeneza chochote unachokijua hapa duniani
Rekodi mazingiza fulani uliyovutiwa nayo kisha elezea unachojisikia na kuwahabarisha watu kuhusu mazingira hayo
Tulia chumbani kwako kisha jirekodi chochote unachotaka kuiasa jamii au kuikosoa
Rekodi ukielezea mila na desturi za kabila fulani
Hiyo hapo juu ni mifano michache vipo vingi vya kujirekodi, Tumia fulsa hii sasa acha kupoteza muda whatsapp au facebook kukomenti picha za watu tengeneza pesa na milionea Tv sasa utakuwa mtangazaji wa milionea Tv na utalipwa tuma video yako sasa kwenda whatsapp 0652428852 utaunganishwa na wenzio waliotuma video zao na kupewa mafunzo zaidi jinsi ya kupata watazamaji wengi kwenye video yako kwa siku pamoja na taarifa za malipo