Sunday, March 4, 2018

Karibu milionea Tv Burudika na tengeneza pesa

Tengeneza pesa kwa kurekodi video fupi. Tumia simu yako tu.


Habari  ndugu msomaji wa makala hii. Nakutambulisha kwako fulsa mpya ya kwanza toka Tanzania sasa unaweza kulipwa kwa kila video unayorekodi kwakutumia simu yako au kamera au kompyuta yako.
Video yoyote inakubaliwa ili mradi iwe na maadili na iwe na manufaa kwa watazamaji wote duniani. Unaweza kurekodi video za kufundisha jamii kufanya kitu chochote mfano fundisha kutengeneza bustani za mboga au maua, Fundisha kufuga kuku, Fundisha kupika ugali, Fundisha kutengeza kitu chochote ulicho na ujuzi nacho.
Unaweza kurekodi video za kutoa burudani mfano rekodi ukiwa unaimba wimbo au ukiwa unacheza wimbo ukiwa unasoma mashairi, ukiwa inaigiza mfano video za vichekesho au ukiwa unacheza mchezo wowote.
Unaweza kurekodi chochote upendacho ili mradi kiwe na manufaa kwa jamii inayotazama video yako na kiwe na maadili.
Jinsi ya kurekodi video hiyo:

  1. Chukua simu ya mkononi ya smart phone Kisha mpe rafiki yako akurekodi ukiwa unafanya kitu hicho kama ukiwa unaelezea kwa vitendo jinsi ya kutengeneza bustani ya maua pembezoni mwa nyumba yako au nyumba yoyote unayoweza kurekodi video. Hakikisha unataja jina lako mmiliki wa video hiyo unaweza kumtaja na aliyekurekodi kwa kumpa hadhi ya kamera man wako.

    Malipo
    Kwa kila video unayorekodi unalipwa kwa idadi ya wanaotazama video yako Mfano video ikitazamwa mara elfu 10 unalipwa elfu 20 Yaani chukua idadi ya views x 2 sawa na pesa zako hata video ikipata views laki 5 unalipwa milioni yako bila wasiwasi. Tuma video yako whatsapp kwa namba 0652428852 utaunganishwa na group la wenzio waliotuma video kwa mafunzo jinsi ya kupata views wengi na taarifa za malipo yako.


    Masharti ya muhimu ya kuzingatia kabla hujatuma video yako

    1.Video yako isiwe imewekwa kwenye mtandao wowote duniani mfano you tube, vimeo, daillymotion, facebook, whatsapp instagram na mitandao mingineyo kama hiyo na blogs.
    Video isiwe na lugha za matusi au uchochezi au kukosa maadili.


    2.Video yako iwe imerekodiwa na wewe uliyoituma yaani sauti iliyomo kwenye video iwe ni sauti yako halisi na si ya mtu mwingine. Kama utaleta video ya mtu mwingine mfano mwanao au mkeo basi lazima yule mwenye video ndiye ailete
    video kwa niaba yako au tutahakiki kama sauti iliyopo kwenye video ni ya huyo mtu akipigiwa simu

    3.Unakubaliana na masharti ya malipo ambayo utapewa mara tu ukiwasiliana nasi kwa namba hapo juu kabla hujatuma video yako


    4.Unakubaliana kuwa video ikishaletwa kwenye Milionea Tv haiwezi kufutwa au kuondolewa kwa watazamaji bila ridhaa ya uongozi wa Milionea Tv

    Masharti haya yanaweza boreshwa au kuongezwa muda wowote ikihitajika ili kutoa huduma 
    nzuri zaidi kwa jamii nzima inayonufaika na Milionea TV

    Karibu tutengeneze fulsa kwa kutumia mitandao badala ya kupoteza muda mitandaoni kwa kupost vitu visivyo na manufaa kwenu na kwa Taifa letu.

    Huu ni mfano wa video zinazorushwa na watangazaji wa Milionea Tv hata wewe unaweza kuleta video kama hizi. Vigezo na masharti hapo juu kuzingatiwa

0 comments: